Hahahahaa.... yani umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Mi nimemuachia Mungu.Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...
Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali
Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.
Happy Birthday to you Asprin
Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee
Thank you Honey FaithHappy birthday babu Asprin mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele.
kiwatengu muandalie babu juice ile kubwa sijui inaitwa black or red lebel.Mie na hubby Rogie tutakuwepo kwenye party msisahau Fursana zetu.
Njooni huku mkatakie kazee ki.om.i happy birthday Cc Heaven Sent geniveros @atoto Khantwe......
Dogo angalia sana, nikimuachia Mungu, Mangu atakuona. Shauri zako.Halafu haka kazee nahisi kanakula miaka ya watu wengine.
Miaka 90+ halafu bado yupo hai maana yake nini?..........Heri ya kuzaliwa Babu.
Thanks Mkuu wangu. Be blessed
Hata wewe mchepuko wangu unanifanyia hivi??Happy birthday chief bazazi
Ujirani na wewe ushakufaHata wewe mchepuko wangu unanifanyia hivi??
Sorry, I mean jirani??
Asante lakini, leo simwachii Mungu.
Mungu hana shida na wake zako, hao niachie mimi.Dogo angalia sana, nikimuachia Mungu, Mangu atakuona. Shauri zako.
Thanks for the wishes
Nimeiacha kwa ajili yako... Na wewe achana na Nyani Ngabu nikuambukize mimba ya mapachaOoh hapo mwisho hapo[emoji39]
Upo tayari kuacha ile mipango kando yako lakini?
Hata wewe ni mmoja kati ya michepuko yake?Cha kushangaza kadri kanavopunguza miaka ndivo kanavokua beduhi
Hauwezi kufa mpaka unizalie mtoto wa kikeUjirani na wewe ushakufa
Mtcheeew kwendraaaHauwezi kufa mpaka unizalie mtoto wa kike