Happy birthday Asprin

Hahaaaa!! Mtasubiri sanaaa, yaani hii ndoa binadamu hawezi kuitenganisha.
Ndoa inayotenganishwa na shetani, ziraili mtoa roho... binadamu ni nani hata ahangaike nayo?? RIP ndoa feki!!
 
Achana na blah blah zote kama Kiss FM. Hapo kwa blue ndo neno la uzima... Napenda kukuhakikishia anko Magu amekubali ombi lako... ataweka lami mpaka kwenye jumuiya yako... ntakuja nikiwa nateleza....
[emoji23][emoji23][emoji23]asante sanaaa
 
kiapo kingine ama?
ila ujue Mungu anakuona kumwapisha mwenzio wakati mmeunganisha vikojoleo...sio vizuri!!
Walaaaa tuliapa tukiwa na akili zetu timamu, walaa libido haikuhusika, mioyo yetu iliongea. Alafu hicho kipengele cha uunganishaji kimenisisimua, MO11 where are you darling, plz come the needfull is needed.
 
Halafu haka kazee nahisi kanakula miaka ya watu wengine.

Miaka 90+ halafu bado yupo hai maana yake nini?..........Heri ya kuzaliwa Babu.
Hahaha [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Walaaaa tuliapa tukiwa na akili zetu timamu, walaa libido haikuhusika, mioyo yetu iliongea. Alafu hicho kipengele cha uunganishaji kimenisisimua, MO11 where are you darling, plz come the needfull is needed.
keshaona dalili na uwepesi wakuirudia ndoa yake ya awali...
 
Awwwwwwww happy birthday babu mpenzi Asprin
Ishi maisha marefu uzidi kutuongezea siku kwa vimbwanga vyako.
Nilikuwa najiuliza muda wote.... ni bando limekuishia??? Hata lile la yunivasite??

Nikataka nimuachie Mungu lakini kuna mtu akanisihi nisifanye hivyo...

Thank you so very much my Nifah (Kwa sauti ya Olu Jacobs wa Nollywood movies, yaani libezi flani hivi amazing LOL). Am humbled kupata this wish toka kwako.... wish ya kwanza huwa ina thamani ujue LOL

God bless us all.

BTW kuna jamaa limenigongea dirishani hapa likitaka likupose. Kwa kuliangalia tu hapo kwako.... hapana asee, bora nikuoe mwenyewe... liwalo na liwe.
 
Ndoa inayotenganishwa na shetani, ziraili mtoa roho... binadamu ni nani hata ahangaike nayo?? RIP ndoa feki!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe mnajijua kuwa wewe na kiwatengu ndio mashetani wa ndoa yetu. Na mshindweeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…