Happy birthday Asprin

Kumbe na ujanja wako wote unakuja kuolewa na kibabu kizee!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo ukinivurugia siku yangu, wallah nahamishia kikojoleo chako usoni.... dont dare me.... You have been warned!
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babuuuuuu nimecheka sana.

Nipo safarini ndio maana nimeshindwa kuuona huu uzi mapema,nisamehe bure babu kipenzi.

Hahahahahaaaaa hilo libezi umenikumbusha la mahabuba wangu The bold
Napenda sana sauti nzito ya kiume [emoji39]

Karibu babu mpendwa
Enjoy
 
Thank you... ila usisahau kumwambia The bold ... nilikuwa sifanyi utani... asipoleta ukucha wa kidole cha simba dume...cha mguu wa kushoto wa mbele.... yeye na wewe mtakuwa sawa na Lema na Makufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…