Halafu nimekumiss mama mkwe....Kwendraa. Ndo nimeshakuacha sirudi tena utabakia kuwa dear X
Nimekumiss pia mkwe ila umemfungia mwanangu mpaka sio vizuriHalafu nimekumiss mama mkwe....
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji12] hata yeye anataka ...... Kwani hupendi wajukuu?Hee huyo mwanangu unampeleka fasta fasta mno mpumzishe kwanza
Wajukuu napenda sana ila hiyo spidi walah inanitisha[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji12] hata yeye anataka ...... Kwani hupendi wajukuu?
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji12] hata yeye anataka ...... Kwani hupendi wajukuu?
Asprin happy birthday Mzee mwenzanguHappy birthday babu Asprin mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele.
kiwatengu muandalie babu juice ile kubwa sijui inaitwa black or red lebel.Mie na hubby Rogie tutakuwepo kwenye party msisahau Fursana zetu.
Njooni huku mkatakie kazee ki.om.i happy birthday Cc Heaven Sent geniveros @atoto Khantwe......
Tukutane jioni HisajeShukrani mzee mwenzangu... ila nshazeeka sasa unaweza kunipa mwaliko wa bia
Hili ndilo neno na mungu...Tukutane jioni Hisaje
Mie Kunguru muoga ati!! Nawaachia wenye mabavu yaoYani nlikuwa nashangaa kimekutokea nini... Yani hata wewe ni wa kunikaukia???
Angalau sasa roho yangu imepona...
Asante sana mpenzi wangu... nimefarijika.
nikumbuke na mm 10 june basiMiaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...
Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali
Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.
Happy Birthday to you Asprin
Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee
nasubiria kama utaikumbuka na mm unipostUsijali le mbebe