Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Yani nlikuwa nashangaa kimekutokea nini... Yani hata wewe ni wa kunikaukia???

Angalau sasa roho yangu imepona...

Asante sana mpenzi wangu... nimefarijika.
Mie Kunguru muoga ati!! Nawaachia wenye mabavu yao
 
Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...

Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali

Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.

Happy Birthday to you Asprin

Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee
nikumbuke na mm 10 june basi
 
Back
Top Bottom