[emoji23] [emoji23] [emoji8] unanikosha sanaAmen to that...
naahidi kuishi mpaka next birthday ili unianzishie thread kule jukwaa la wakubwa.
Uweke kale kapicha ketu tulikopiga wakati tukiwatengeneza hao mapacha tumboni mwako.
Nilikuita uone mtu anavyoiteka pensheni ya kizeeNani ananiita dota?
Hivi kumbe huyu dogo Asprin nae ana birthday!! Kweli Mungu sio anko joni.
Khee... kule hatutapelekwa kwenye nyumba ya Godbless Lema??[emoji23] [emoji23] [emoji8] unanikosha sana
ntakuanzishia mpk siasanii
shosti ndo nn sasa...Khaaa hilo fataki lako kaa nalo mwenyewe
Nani ananiita dota?
Hivi kumbe huyu dogo Asprin nae ana birthday!! Kweli Mungu sio anko joni.
Umbea hauna posho!!!Nilikuita uone mtu anavyoiteka pensheni ya kizee
hatupelekwi babesKhee... kule hatutapelekwa kwenye nyumba ya Godbless Lema??
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mmeanza eeehhh!!!!Nilikuita uone mtu anavyoiteka pensheni ya kizee
Haha matroooooon[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo zuri fataki letu babu hiloo
nsaidie tuzeeke nae
shosti ndo nn sasa...
kubadilisha hvyooo...!!!nachat kumbe na wewe matroni looohh!!
mtu mbaya wewee....!!!
Niambie matron mwenzangu, we nawe sijui uko dunia gani, inamaana hukujua tu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo zuri fataki letu babu hiloo
nsaidie tuzeeke nae
shosti ndo nn sasa...
kubadilisha hvyooo...!!!nachat kumbe na wewe matroni looohh!!
mtu mbaya wewee....!!!
Niko very smart kamwe siwezi kufumaniwa,alokwambia itakuwa mlikuwa wote mmelewa.Vipi, ulitoka salama?? Kuna mtu alinambia ulifumaniwa ukibanjuka na shambaboy wa anko wako...
Niambie matron mwenzangu, we nawe sijui uko dunia gani, inamaana hukujua tu!!!
Usinikumbushe ya nshomile siku ileNiambie matron mwenzangu, we nawe sijui uko dunia gani, inamaana hukujua tu!!!
Haha shikamoo atoto lolnaenda kukusemelea kwa mama hakyamama!!
Afu kwa taarifa yako Kaizer yuko partenity leave, atoto kajifungua.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]shosti ht sikujuaa...Ila najiulizaa mwenyewe au kawa headmistress [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so busy na madenti hewa kuwabaini...
Jana ndo nimejua