Afu babes, leo uvae ile ya pink nlokununulia Venezuela... sitakagi ujinga kwenye siku maalum.
Nshakuchukulia Amarula...
I say you do... Thats my wife. Thats my soulmate...usijali switie Leo ni ni siku yako...
Masaa yote...!!
Leo wewe ndo bosii
Kumbe ndio maana umesema jamaa hafanyi kazi hadi ufungie POP kumbe tatizo ni sabuni!!!Ndo muwape vijana wangu waburudike na hivyo viburudisho mlivyopewa bure... Nimechoka na kadhia, kila siku sabuni zinapanda bei sababu ya uchoyo wenu.
Aaah wapi! ndio kwanzaaa kamefikisha 21.naona unatimiza miaka 79
happy bday
[emoji54] [emoji54] hii inaitwa kirambasi.Hana ubavu wa kunitosa, yeye amekamilika sio kama wewe hadi uboostiwe.
We mtoto tulia. Tulia nakwambia... Nikimwachia Mungu, usije kunipigia magoti.Aaah wapi! ndio kwanzaaa kamefikisha 21.
Tatizo si wewe... tatizo ni umri wako. Hivi ulifanikiwa kuingia second year??... soorrryy... second semester??Kumbe ndio maana umesema jamaa hafanyi kazi hadi ufungie POP kumbe tatizo ni sabuni!!!
ngoja nikuwekee taaraabu kidogo ya mze yusuphI say you do... Thats my wife. Thats my soulmate...
Teh teh teeeh!! Nikupigie magoti we Mungu!!We mtoto tulia. Tulia nakwambia... Nikimwachia Mungu, usije kunipigia magoti.
Shauri zako
hapa sikutaka kukujibu kwa kuwa nilijua unajua kitu kuhusu ubavu wangu ila hapa chini pamenipa mashaka tusitafutane ugomvi jamaniKama espy ni mke wako... anyway ngoja niishie hapa nisivunje ndoa. Ila mwambie tu abortion ni "criminal offence"
Aaah wapi! ndio kwanzaaa kamefikisha 21.
Asa kwanini unanifuata PM unaniambia nisiendelee kukuharibia kwa MO11 ?? Basi bhana... nlikuwa natania tu... hukutoa mimba wala nini, sema tu period yako ilijichanganya badala ya kwenda kwa mwezi ikaenda kwa week kama kibarua wa kubeba zege... dah!!Una laana ujue we dogo!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Aaah wapi! ndio kwanzaaa kamefikisha 21.
Tokea uingie 2nd semester una fujo!!Tatizo si wewe... tatizo ni umri wako. Hivi ulifanikiwa kuingia second year??... soorrryy... second semester??