Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Happy Birthday Kaka!!
Na Hongera sana kwa kuzaliwa kipindi hiki cha karibia na January
 
Afu babes, leo uvae ile ya pink nlokununulia Venezuela... sitakagi ujinga kwenye siku maalum.

Nshakuchukulia Amarula...

usijali switie Leo ni ni siku yako...

Masaa yote...!!

Leo wewe ndo bosii
 
Ndo muwape vijana wangu waburudike na hivyo viburudisho mlivyopewa bure... Nimechoka na kadhia, kila siku sabuni zinapanda bei sababu ya uchoyo wenu.
Kumbe ndio maana umesema jamaa hafanyi kazi hadi ufungie POP kumbe tatizo ni sabuni!!!
 
Kumbe ndio maana umesema jamaa hafanyi kazi hadi ufungie POP kumbe tatizo ni sabuni!!!
Tatizo si wewe... tatizo ni umri wako. Hivi ulifanikiwa kuingia second year??... soorrryy... second semester??
 
I say you do... Thats my wife. Thats my soulmate...
ngoja nikuwekee taaraabu kidogo ya mze yusuph

Hny nataka unibebe unipeleke kuoga

Kisha nilishe nishibe hata mlo uso mbooga

Kisha nipe kila kituuu...

Tulipovyohalalishiwaa..

Namimi nikupe mavituuu...

We mwenyewe unanijua!

Kisha tucheze sebene letu..

Mpk jogoo analia..

Wale wabaya wetuu!

Wakituona watazimiiiaa...!
 
Una laana ujue we dogo!!
Asa kwanini unanifuata PM unaniambia nisiendelee kukuharibia kwa MO11 ?? Basi bhana... nlikuwa natania tu... hukutoa mimba wala nini, sema tu period yako ilijichanganya badala ya kwenda kwa mwezi ikaenda kwa week kama kibarua wa kubeba zege... dah!!
 
Tatizo si wewe... tatizo ni umri wako. Hivi ulifanikiwa kuingia second year??... soorrryy... second semester??
Tokea uingie 2nd semester una fujo!!
Unadhani nami ki.la.za kama wewe.
 
Back
Top Bottom