Hahahaha mi siko UDOM kama wewe, sorry kama Jeska... UNIKOME!Tokea uingie 2nd semester una fujo!!
Unadhani nami ki.la.za kama wewe.
Haya bana.... VODACOM!!! ... I mean Kaaazi ni kwako!!!hapa sikutaka kukujibu kwa kuwa nilijua unajua kitu kuhusu ubavu wangu ila hapa chini pamenipa mashaka tusitafutane ugomvi jamani
My utamu tafadhali usimsikilize huyo dogo, ana stress za kukosa boom.hapa sikutaka kukujibu kwa kuwa nilijua unajua kitu kuhusu ubavu wangu ila hapa chini pamenipa mashaka tusitafutane ugomvi jamani
Halipo. Hii ndoa haipo.
Oooh you wish eeeh!!!Asa kwanini unanifuata PM unaniambia nisiendelee kukuharibia kwa MO11 ?? Basi bhana... nlikuwa natania tu... hukutoa mimba wala nini, sema tu period yako ilijichanganya badala ya kwenda kwa mwezi ikaenda kwa week kama kibarua wa kubeba zege... dah!!
Uwe UDOM utambe!! Huo ubavu hauna maana sio kwa ile dvn 5. Vipi VETA likizo lini? Maana cha pombe wewe sidhani hata kama unasoma zaidi ya kulewa.Hahahaha mi siko UDOM kama wewe, sorry kama Jeska... UNIKOME!
Umeamua kuwa agent wa huyo dogo eti? Vipi anakulipa bia ngapi?Halipo. Hii ndoa haipo.
Mi nakujibu kwa sauti tulivu tu... sinaga makekeengoja nikuwekee taaraabu kidogo ya mze yusuph
Hny nataka unibebe unipeleke kuoga
Kisha nilishe nishibe hata mlo uso mbooga
Kisha nipe kila kituuu...
Tulipovyohalalishiwaa..
Namimi nikupe mavituuu...
We mwenyewe unanijua!
Kisha tucheze sebene letu..
Mpk jogoo analia..
Wale wabaya wetuu!
Wakituona watazimiiiaa...!
Shukrani kiongozi... nimezaliwa mwezi dume...Happy Birthday Kaka!!
Na Hongera sana kwa kuzaliwa kipindi hiki cha karibia na January
Mi nakujibu kwa sauti tulivu tu... sinaga makekee
Usiende mbali namiiii, mimi bado nakupendaaaaa
Wanasugua mavumbi sisi twalaaaa
Wanataka mapinduziiiii
Na mapinduzi hawayaweziiii...
1.
2.
3.
Haya twendeeee
Wapambeeee tusiwakubalii... nia yao tufarakaneee
Usisikize uzushiiii....
baby wangu we kimwanaaaaa....
Nataka tufunge ndoaaaaa....
Unizalie na wanaaaa....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakuna cha uagent hapa, hujaolewa na yoyote mpaka sasa hakuna ushaidi wowote wala evidence yoyote.Umeamua kuwa agent wa huyo dogo eti? Vipi anakulipa bia ngapi?
Kumbe unasubiri ushahidi!! Basi endelea kusubiri, ngoja kwanza nikampetipeti mume wangu maana mida yenyewe ndio hii.Hakuna cha uagent hapa, hujaolewa na yoyote mpaka sasa hakuna ushaidi wowote wala evidence yoyote.