Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

hapa sikutaka kukujibu kwa kuwa nilijua unajua kitu kuhusu ubavu wangu ila hapa chini pamenipa mashaka tusitafutane ugomvi jamani
Haya bana.... VODACOM!!! ... I mean Kaaazi ni kwako!!!
 
hapa sikutaka kukujibu kwa kuwa nilijua unajua kitu kuhusu ubavu wangu ila hapa chini pamenipa mashaka tusitafutane ugomvi jamani
My utamu tafadhali usimsikilize huyo dogo, ana stress za kukosa boom.
 
Asa kwanini unanifuata PM unaniambia nisiendelee kukuharibia kwa MO11 ?? Basi bhana... nlikuwa natania tu... hukutoa mimba wala nini, sema tu period yako ilijichanganya badala ya kwenda kwa mwezi ikaenda kwa week kama kibarua wa kubeba zege... dah!!
Oooh you wish eeeh!!!
Tupo imara dogo, hapa huvurugi utajivuruga tu mwenyewe.
 
Hahahaha mi siko UDOM kama wewe, sorry kama Jeska... UNIKOME!
Uwe UDOM utambe!! Huo ubavu hauna maana sio kwa ile dvn 5. Vipi VETA likizo lini? Maana cha pombe wewe sidhani hata kama unasoma zaidi ya kulewa.
 
ngoja nikuwekee taaraabu kidogo ya mze yusuph

Hny nataka unibebe unipeleke kuoga

Kisha nilishe nishibe hata mlo uso mbooga

Kisha nipe kila kituuu...

Tulipovyohalalishiwaa..

Namimi nikupe mavituuu...

We mwenyewe unanijua!

Kisha tucheze sebene letu..

Mpk jogoo analia..

Wale wabaya wetuu!

Wakituona watazimiiiaa...!
Mi nakujibu kwa sauti tulivu tu... sinaga makekee

Usiende mbali namiiii, mimi bado nakupendaaaaa
Wanatimua mavumbi sisi twalaaaa
Wanataka mapinduziiiii
Na mapinduzi hawayaweziiii...
1.
2.
3.

Haya twendeeee

Wapambeeee tusiwakubalii... nia yao tufarakaneee
Usisikize uzushiiii....

baby wangu we kimwanaaaaa....
Nataka tufunge ndoaaaaa....
Unizalie na wanaaaa....
 
Happy Birthday Kaka!!
Na Hongera sana kwa kuzaliwa kipindi hiki cha karibia na January
Shukrani kiongozi... nimezaliwa mwezi dume...

Ndo ukubwa huu kaka...

Nalazimika kucheza na wajukuu tu hapa... wananishika sharubu babu yao sina pa kwenda wala la kuwafanya...
 
Mi nakujibu kwa sauti tulivu tu... sinaga makekee

Usiende mbali namiiii, mimi bado nakupendaaaaa
Wanasugua mavumbi sisi twalaaaa
Wanataka mapinduziiiii
Na mapinduzi hawayaweziiii...
1.
2.
3.

Haya twendeeee

Wapambeeee tusiwakubalii... nia yao tufarakaneee
Usisikize uzushiiii....

baby wangu we kimwanaaaaa....
Nataka tufunge ndoaaaaa....
Unizalie na wanaaaa....

usihofu Niko radhi

kwa uzima na maradhii

mambo tuyaweke waziiii

tusihofu mapaparaziii!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani page ya kwanza tu nshacheka hadi machozi...si kwa comments za huyu mzee chaaaa...kwa kweli kati ya watu wanaonivunja mbavu kila nikisoma comments zao ni huyu mzee kijana....HBD mmeku!!!!!
 
Pope kiwatengu haitambui hii ndoa. we ni mchepuko tu wa MO11 na ni mali halali ya mwanaume yeyote anayetaka kukuoa... Mimi babu nimekuamuru, kaolewe bujumbura ... na mahari nshachukua kwa taarifa yako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo mahari ulochukua jiandae kuolewa tu.
Mie kwa MO11 sibandukiii, hata kifo hakitotutenganisha.
 
Hakuna cha uagent hapa, hujaolewa na yoyote mpaka sasa hakuna ushaidi wowote wala evidence yoyote.
Kumbe unasubiri ushahidi!! Basi endelea kusubiri, ngoja kwanza nikampetipeti mume wangu maana mida yenyewe ndio hii.
MO11 nakuhitaji kule mume wangu kipenzi.
 
Back
Top Bottom