Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ndo muke ya ujana wangu wajameni???[emoji85] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani looh!mpk miye kaaahhh!!
kumbe je....!Thread za kujishebedua sio??
Afu babe saa hizi saa ngapi?? Hebu jiandae bhana...
kumbe je....!Thread za kujishebedua sio??
Afu babe saa hizi saa ngapi?? Hebu jiandae bhana...
[emoji8] [emoji8] [emoji8] waambie wajue kabisa halafu sinaga papara!!Wewe si ndo muke ya ujana wangu wajameni???
Chumvi unayo mwenyewe, kachumbari yatosha, mboga ya nini???kumbe je....!
nakusubiri babes tukale good time!!
kisha unipe mlo uso mbogaa
Ewaaa... watuzalie vijakazi wa kutulelea wanetu.... Amina.[emoji8] [emoji8] [emoji8] waambie wajue kabisa halafu sinaga papara!!
na uwape mapacha wotreee
umeonaaa eeehhh!! hapo ndo unanikosha switie baby!!Ewaaa... watuzalie vijakazi wa kutulelea wanetu.... Amina.
Chumvi unayo mwenyewe, kachumbari yatosha, mboga ya nini???
Afu babes, leo uvae ile ya pink nlokununulia Venezuela... sitakagi ujinga kwenye siku maalum.umeonaaa eeehhh!! hapo ndo unanikosha switie baby!!
Asante sana kwa ukaribisho...Happy birthday babu Asprin mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele.
kiwatengu muandalie babu juice ile kubwa sijui inaitwa black or red lebel.Mie na hubby Rogie tutakuwepo kwenye party msisahau Fursana zetu.
Njooni huku mkatakie kazee ki.om.i happy birthday Cc Heaven Sent geniveros @atoto Khantwe......
Thanks mkuu...naona unatimiza miaka 79
happy bday