Hahaha hahaha hahahaUnambania mdogo wangu. Kwanini lakini? Tutakuacha Marangu next time usipotuomba radhi wallah...
Afu mlemavu anakusalimia sana
Yaaan halafu nahisi itakuwa I'd ya babu ujueHahaha hahaha hahaha
Au ni babuuu
Hahaha don't tell me aisee ....kwamba miaka 100 na wewe hauhitaji ...so hauoni kwamba ikifa mapema utamuacha madame sky atwaliwe na vijanaHata mimi wallah... basi rudi ukapunguze nguvu ya sala yako... kheeee!
Abee
Yesu Kristo wa Nazareth!
UmeonaeeeeYaaan halafu nahisi itakuwa I'd ya baby ujue
Kaka unataka kuninyima nini eti? Je, huyafahamu maandiko, kwamba mchepuko wa mtu ni mke wa mtu pia?Ewaaaaa
Sijambo mimi kaka Kaizer
Hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niache mpendwa mm hivi kwa nn unanifundisha tabia mbaya na sakayo mm nimeokoka
Ndio taarifa hiyoAbee
EwaaaaaKaka unataka kuninyima nini eti? Je, huyafahamu maandiko, kwamba mchepuko wa mtu ni mke wa mtu pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeen Ameeen mpendwa wangu katika Bwana [emoji120][emoji120][emoji120] uzidi barikiwa shunie wangu nakupenda mmHahaha hahaha
Bwana Yesu asifiwe mama mchungaji
ShunieNdio taarifa hiyo
Nakupenda pia Sakayo wanguuAmeeen Ameeen mpendwa wangu katika Bwana [emoji120][emoji120][emoji120] uzidi barikiwa shunie wangu nakupenda mm
He!Nakupenda pia Sakayo wanguu
Poa mwali wangu! Za masiku tele! Huyu babu mwenza Asprin alitaka jambo gani pale mamsera? Ama ugoroEwaaaaa
Una maakili kama yote... Mambo Kaizer
Vipi mchepuko wangu wa kudumu