Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Unambania mdogo wangu. Kwanini lakini? Tutakuacha Marangu next time usipotuomba radhi wallah...

Afu mlemavu anakusalimia sana
Hahaha hahaha hahaha
Kachuro sio kabisaaa...

Mlemavuu hajambo jamanii... Msalimie sana akii..memmiss
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niache mpendwa mm hivi kwa nn unanifundisha tabia mbaya na sakayo mm nimeokoka
Hahaha hahaha
Bwana Yesu asifiwe mama mchungaji
 
Back
Top Bottom