Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mwambie akikuchezea zaidi nakurudisha nyumbani. Hivi hajui mjukuu ni mchumba wa babu??Ohooo ... atajutaKasema Mwaka huu hauishi lazima asababishe babuu hata mimi nimemdindia eti 6 March twafikisha mwaka wa 2 asee Smart911 sitaki utani
Sent using Jamii Forums mobile app