Mwambie akikuchezea zaidi nakurudisha nyumbani. Hivi hajui mjukuu ni mchumba wa babu??Ohooo ... atajutaKasema Mwaka huu hauishi lazima asababishe babuu hata mimi nimemdindia eti 6 March twafikisha mwaka wa 2 asee Smart911 sitaki utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amina kubwa babu, ila navyopenda nyamaUlweso my dear....
Ahsante Sana...
Nami naomba sala yako Mungu aisikie na akutendee vile vile kama ulivyoniombea...(najua hupendi kushindwa kutafuna nyama, ila utafanyaje sasa wakati sala ishasikilizwa??)
Mungu yu mwema daima.... Barikiwa mno.
Huyo ni Shunie kabisaaa...
Hata ya kitimoto??Haaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amina kubwa babu, ila navyopenda nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akikuchezea zaidi nakurudisha nyumbani. Hivi hajui mjukuu ni mchumba wa babu??Ohooo ... atajuta
Afadhali. Ningekutaliki wallahHuyo ni Shunie kabisaaa...
@Kaizer hebu ukuje unisomee hapa mimiAfadhali. Ningekutaliki wallah
Ewaaa... na kitanda chako bado kiko. Mara mojamoja babu anakilalia akiwa kachoka mchanaHahahahaha.... Smart911 Hajui kwetu tunaambiwaga kabisa mwanaume akikuzingua akikunyanyasa mama karibu sana nyumbani usinyanyasike huko kisa ndoa.... Njoo kwa miguu miwili tutakupokea tehteh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo nikubakizie na ndizi mbili?
Lord have Mercy!!!Hahahahaha. . Ndio Sakayo amenikula almost 2 years sasa nataka Smart911 anifanye mke halali miaka inasonga ati mwishowe nyonga itazeeka bilabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa... na kitanda chako bado kiko. Mara mojamoja babu anakilalia akiwa kachoka mchana
Shauri zake walah. Mwambie babu nimezaliwa upya eti
AiseeeHahahahaha. . Ndio Sakayo amenikula almost 2 years sasa nataka Smart911 anifanye mke halali miaka inasonga ati mwishowe nyonga itazeeka bilabila
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeEwaaa... na kitanda chako bado kiko. Mara mojamoja babu anakilalia akiwa kachoka mchana
Kwahiyo nikubakizie na ndizi mbili?