Amina sana sana...mjukuu. Niko proud kufahamiana na wewe. Naomba siku moja itokee tuonane uso kwa usoHappy birthday babu mchepuko wake wa kudumu dada akee mm sakayo na mume wa sky
Tunakupenda babu Yesu wetu azidi kukutunza
Hakika Mungu atakubariki na kukupa umri mkubwa mara tatu ya umri wangu. Labda kama wewe hutakiHbd kibabu Aspirin utamu wa mamdogo Sky Eclat,tunakutakia miaka ya kuishi kama yooooote.
Hahahahah... dah! Ahsante sana rafiki
Nyie ndo mnakapa kichwa atii nikazee..Kazee wapi hata 29 hakana. We ushawahi ona mzee wa hovyo namna hii!!
Hahahaha ni kwa neema na rehema kiongozi. Mungu yu mwema daimaDah...HBD mzee mwenzagu. Sina neno najua unajua Kila kitu...labda tu Kama unashinda bar.... Kutoboa Masika 72 si mchezo[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen...[emoji120]Ahsante sana swahiba. God bless us all.
Hahahahaha dahNyie ndo mnakapa kichwa atii nikazee..
Amina sana sana...mjukuu. Niko proud kufahamiana na wewe. Naomba siku moja itokee tuonane uso kwa uso
Mambo ya kifamilia haya. Mjukuu ana umuhimu sana kwa babu. Kuwa na amani mama. Kila kitu kiko sawa
Kiongozi nakushukuru sana. Hizi chumvi hata wewe ukiwa na nidhamu utazibugia za kutoshahappy womb escape-day babu shemeji.
kumbe umebugia machumvi mengi kiasi hiki, sasa nimezidi kukuelewa mienendo yako.
hongera Sky Eclat kwa kumlea huyo mzee.
hiyo keki mtaila wenyewe kwakweli...mimi nataka nyingine.
Hahahahaah dah!Mmhh, ukiwa mtoto kila unachoomba hunyimwi, naona unaitumia fursa ya utoto leo ipasavyo.
Ahsante sana my Ex
Thanks pal
Hallelujah... ombi lako na liwe pia na kwako.
Huyo ni haramu yangu... mjukuu kabisaaa. Labda itokee tuUmeweka huo umri,binti unataka kumnyima nini!?