Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Ahsante sana mjukuu mtiifu

Ahsante kwa kutimiza ahadi...

Am humbled...

Ila hi keki umenitengenezea wewe ama?
Asante kwa kushukuru mzee kijana...it's an honour kupata chance ya kumuwish mwenyeji wa JF aliyetukuka

Next year Mungu ajaalie uzima naweka mapema order ya kuanzisha uzi kama huu 😁

Iyo cake ni special order kutoka kwa bii bii Sky Eclat ...usinambie hujaipenda
 
Mhhh... Bibi yako Sky Eclat ameanza lini kunitengenezea keki ya aina hiyo? Hebu ibadili kabla sijagongesha kikojoleo ardhini... utapata laana ujue...
 
Back
Top Bottom