Hahahahha umefanikiwa kunivunja mbavu wallahSi anaupenda uzee, basi nasi tunanata na biti ila hakana lolote.
Nyumba yetu itavunjika siku tutakapoingia kaburini...Hizi comment zako shemeji zitavunja nyumba yetu siku moja.
Nina mpango wa kukutenga...
Asante kwa kushukuru mzee kijana...it's an honour kupata chance ya kumuwish mwenyeji wa JF aliyetukukaAhsante sana mjukuu mtiifu
Ahsante kwa kutimiza ahadi...
Am humbled...
Ila hi keki umenitengenezea wewe ama?
Mhhh... Bibi yako Sky Eclat ameanza lini kunitengenezea keki ya aina hiyo? Hebu ibadili kabla sijagongesha kikojoleo ardhini... utapata laana ujue...Asante kwa kushukuru mzee kijana...it's an honour kupata chance ya kumuwish mwenyeji wa JF aliyetukuka
Next year Mungu ajaalie uzima naweka mapema order ya kuanzisha uzi kama huu 😁
Iyo cake ni special order kutoka kwa bii bii Sky Eclat ...usinambie hujaipenda
Uzuri mimi nina subira sana....Nakufata inbox kwa kasi ya kinyonga
Thanks....
Shemeji mimi naongea ukweli mtupu!Hizi comment zako shemeji zitavunja nyumba yetu siku moja.
Hiyo keki mbona imekaa kama choo cha stendi? Hebu nitengenezee yenye maadili...Unakataa zawadi?
@mo11 ashafanya yake kitaaambo.Wewe kuna kitu unakitafuta na utakipata muda si mrefu.
Mimba.
Uishi miaka mingi babu, asante kwa zawadi ya mke mwema pia babu. [emoji851]Ahsante sana swahiba wangu...
Mungu yu mwema daima...