Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Shkamoo unataka ninyima nini eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkamoo unataka ninyima nini eti
Nitashukuru nn we babu kupelekwa sehemu sipajuiHatukuuzi. We mwenyewe utatushukuru....
Hukunionyesha bana....Ile nimekuonesha siku ile ilikuwa ghorofa? Au hukuangalia vizuri kwa kumwogopa Kachuro??
Kheeee unamjua na wewe ndio mnapotaka kwenda kuniuza uko na mchepuko na kwa nn nipigane nae huyo kachuroHahaha hahaha hahaha
Yaani mecheka mimi, hivi kachuro hajambo?; kachuro hamfai watapiganaa
We humjui bwana huyo mzee ulikua haujarudi jf ana mikwaraHahaha hahaha
Hebu nieleweshe vizuri kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujue weweee
Umeyakuta kwa nini yakuumize
Namjua aki, mdogo wake babu, ila ni mkorofi sana jamanii sijui kama mtawezanaKheeee unamjua na wewe ndio mnapotaka kwenda kuniuza uko na mchepuko na kwa nn nipigane nae huyo kachuro
Sijambo mpendwa wangu umeamkaje jamaniMama muinjili hujambo lakini
Wewe unamjua kumbeeWe humjui bwana huyo mzee ulikua haujarudi jf ana mikwara
Sijambo mimi mdogo wanguu, we vipi Sakayo wanguSijambo mpendwa wangu umeamkaje jamani
Naomba picha ukiwa unagongesha hicho kikojoleo ardhini babuMhhh... Bibi yako Sky Eclat ameanza lini kunitengenezea keki ya aina hiyo? Hebu ibadili kabla sijagongesha kikojoleo ardhini... utapata laana ujue...
Hahahah kwahiyo ukaona sitawezana nae kabisaNamjua aki, mdogo wake babu, ila ni mkorofi sana jamanii sijui kama mtawezana
Nisimjue mm na mikwara yake alikuwa anakuja mpaka makapukuWewe unamjua kumbee
Niko poa kabisa shunie wanguSijambo mimi mdogo wanguu, we vipi Sakayo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mpendwa wangu katika Bwana
Kwa nn unateseka
Maisha ndio haya sasa na raha ndio hizi sasa na kupendwa ndio huku sasa
Ukipewa vale usisahau kunipasia na mm
Wewe hapana aiseeeHahahah kwahiyo ukaona sitawezana nae kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hahaha hahaha hahaha fundi cherehani wa kishuaa