usijali babu am here so afya yako ipo ktk mikono salama i asure you of that
Mkuu huku hatujapindua kivile ila tunawasindikiza
ndio nakua hivyo Kassid mtunzi hasante sana
Mh lia aisee unakotoka ndo kutam mii yaniaumaaa
Utetezi mujarab kabisa huu
oohh! poleeeee!! nami nasubiri yaniume, teh teh teh siombei iwe hivyo aisee japo kuumia ni sehemu ya maisha Kassid mtunzi
Ili usiumie fagia kila kinacho husu hapo kama waweza baadae utajisifia huku wahuzunika atoto
mmmmh!!! kama sijakupata pata, hebu dadavua kidogo Kassid mtunzi, si unajua ubongo bado lainiiii haushiki haraka
karibu keki