Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

Ata mimi dada.............miss sn wewe.....!

Wifi yako kanificha hataki nitoke nikatembee anataka nikae ndani tu awe ananihudumia

Aiseee kupendwa raha sana.Basi uwe unatukumbuka nduguzo hata mara moja moja.
 
baby Kaizer ........

Harakisha baby ake twendw kwen huy mnuso maandalizi yake hatare kabisa si unaona afu tusipoangaliaa huyu mtoto watamwiba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom