Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

dada DEMBA shem Kaizer yuko wapi? au anapata yale mambo ya kwenye avatar yake kwanza!??? asije tu akaharibu huku!
 
Last edited by a moderator:
yaani mpenzi huna wivu na mimi?? naona unacheka tu badala ya kupigana. 😡😡

mmmhhhh huu wivu wa kulazimisha unatoka wapi sasa? wivu kwa lipi? hepu pata novida utulie, itakuwa njaa hiyo
 
Heri ya kuzaliwa atoto nakutakia maisha marefu yenye furaha na amani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom