Nipo mkuu ila mambo kibao mkuu................!
poa kaka, komaa ndugu
Poa mkuu
hahaha shemd mambo?
Poa shemd mzima wewe?
not exactly until you kiss me shemd
ahahah mwenza mume nimemshika vibaya sana siku si nyingi mapinduzi mechoka kua mwenzio nataka awe wangu ahahahah
thubutu yako mumeo nimemkamata haswaa na wala simuachiUbavu huo najua huna, unajitapa tu.
Ila ndo huna mke mwenza.
Aika sana Mbe. Nashukuru nimekuta nilihifadhiwa kifurushi. Zawadi nimemuachia huyo huyo.
Salaam toka mkoani: Wale viumbe wa kufugwa mliowatia kwenye masufuria wakati wa ile sikukuu bado wanawalilia huko waliko.
wapi dadangu kipenzi Heaven on Earth, Mapi njoo ukule keki, mama mzaa chema Mpole mimi mambo yamewiva huku
jamani hivi nilikua wapi hadi happy birthday ya my sweet young sisy imenipita
Happy Birthday Love.. mwenyezi Mungu akupe maisha marefu