Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto, Mwenyezi Mungu akubariki hadi ushangae.
 
Last edited by a moderator:
Aika sana Mbe. Nashukuru nimekuta nilihifadhiwa kifurushi. Zawadi nimemuachia huyo huyo.

Salaam toka mkoani: Wale viumbe wa kufugwa mliowatia kwenye masufuria wakati wa ile sikukuu bado wanawalilia huko waliko.

Hahaa na walie tu mbe....tushamaliza yetu tutakutana Mbinguni
 
jamani hivi nilikua wapi hadi happy birthday ya my sweet young sisy imenipita

Happy Birthday Love.. mwenyezi Mungu akupe maisha marefu

yaani hata mi nashangaa!! hadi keki yako nimedokoa kidogo kidogo mpaka imeisha!!! Nashukuru sana dada yangu kipenzi Heaven on Earth miss you many mamy dear.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom