yaani hata mi nashangaa!! hadi keki yako nimedokoa kidogo kidogo mpaka imeisha!!! Nashukuru sana dada yangu kipenzi Heaven on Earth miss you many mamy dear.
Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema katika siku hii, ukue katika maadili mema.
Tunakupenda sana.
Karibuni wote kwa mazawadi na makeki.
charminglady everlenk Ennie Baba V ladyfurahia lara 1 Asprin BADILI TABIA Mtambuzi sister miss neddy atug masai dada Mr Rocky Ntuzu Tized mwallu snowhite Madame B Kongosho Mtoto halali na hela utafiti Tyta MO11 Honey Faith Nazjaz
Na wengineo wote karibuni sana.
Miss you too dear........ keki imedokolewa mpaka imeisha
nitaua mtu lol.......
Hommie haka kabinti atoto kametimiza miaka mingapi. Nahisi kuna fomu inamhusu.....Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema katika siku hii, ukue katika maadili mema.
Tunakupenda sana.
Karibuni wote kwa mazawadi na makeki.
charminglady everlenk Ennie Baba V ladyfurahia lara 1 Asprin BADILI TABIA Mtambuzi sister miss neddy atug masai dada Mr Rocky Ntuzu Tized mwallu snowhite Madame B Kongosho Mtoto halali na hela utafiti Tyta MO11 Honey Faith Nazjaz
Na wengineo wote karibuni sana.
Oh Mama........... RIP ODM.Vin diesel........
Happy new year
Hata wewe waeza kunijibu... lakini PM kule mibazazi isije ikaniwahi.
Hata wewe waeza kunijibu... lakini PM kule mibazazi isije ikaniwahi.
Private Message.pm ndio nini?
Private Message.