Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema katika siku hii, ukue katika maadili mema.

Tunakupenda sana.

Karibuni wote kwa mazawadi na makeki.
charminglady everlenk Ennie Baba V ladyfurahia lara 1 Asprin BADILI TABIA Mtambuzi sister miss neddy atug masai dada Mr Rocky Ntuzu Tized mwallu snowhite Madame B Kongosho Mtoto halali na hela utafiti Tyta MO11 Honey Faith Nazjaz

Na wengineo wote karibuni sana.

happy birthday atoto
 
Hommie haka kabinti atoto kametimiza miaka mingapi. Nahisi kuna fomu inamhusu.....
 
Last edited by a moderator:
inatumwaje?
Nenda kwenye jina langu.... click hapo... chagua send private message..... (kwa wengine haitakubali, usijaribu)

Hebu nitumie nione kama umefaulu

CC: Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom