Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto uishi maisha Marefu, mimi na mume wangu Eli79 tunakutakia kila lenye heri Mungu awe nawe.
 
Mupenz..Najua wajua kuwa i always wish u the best...Siku ya leo kwangu is just like another day..Najua ww kuwa nami kila siku ni happy day..
Nwei ngoja na mm nisemapo kidogo
My dear..Always umekuwa mke bora kwangu(sidhani kama leo ni gud day kuzungumzia michepuko yako),a true friend, a wonderful guide na mengine mengi(sitaki kutaja utavimba kichwa)..Japo we ni pasua kichwa ila nakupenda hivyohivyo my loving mother wa watt wangu...
i wish to spend more years with u ......nakutakia maisha mrefu yenye afya tele na mafanikio...Fahamu kuwa...Baba kijacho anakupenda sana

Nashukuru mnoooo baba kijacho wangu, nakupenda zaidi ya ujuavyo, and yo the best darling.
 
Hakuna namna tena sweetito, subiri tu kuwa dada bora wa mdogo wako, najua lazima arithi that good brain ya sister ake maana hii ni family ya winers tu in Jesus name.
Hahaha Amen Amen. Kumbe Unawish na mdogo angu awe na akili za darasani, teh ntamfundisha na kujipulizia perfume ili uncle mito asimkimbie teh
 

Attachments

  • happy-birthday-meme.jpg
    happy-birthday-meme.jpg
    26 KB · Views: 34
Back
Top Bottom