Mupenz..Najua wajua kuwa i always wish u the best...Siku ya leo kwangu is just like another day..Najua ww kuwa nami kila siku ni happy day..
Nwei ngoja na mm nisemapo kidogo
My dear..Always umekuwa mke bora kwangu(sidhani kama leo ni gud day kuzungumzia michepuko yako),a true friend, a wonderful guide na mengine mengi(sitaki kutaja utavimba kichwa)..Japo we ni pasua kichwa ila nakupenda hivyohivyo my loving mother wa watt wangu...
i wish to spend more years with u ......nakutakia maisha mrefu yenye afya tele na mafanikio...Fahamu kuwa...Baba kijacho anakupenda sana
Hahaha sasa daddy unadhani nina option nyingine tena? Nataka atoto mama kijacho ajifungue salama
Hahaa,
Hongere sanan Ajuza.
But this is too good to be true
Hahaha Amen Amen. Kumbe Unawish na mdogo angu awe na akili za darasani, teh ntamfundisha na kujipulizia perfume ili uncle mito asimkimbie tehHakuna namna tena sweetito, subiri tu kuwa dada bora wa mdogo wako, najua lazima arithi that good brain ya sister ake maana hii ni family ya winers tu in Jesus name.
Hahaha na atakuwa tu natural kwa kweli asije akatuletea Mawigi yasiyofata direction ya kichwa. Hatutaki vichambo vya mzeeKwakweli hicho kipengele itabidi ujitahidi mnooo, maana uncle mito hachelewi kuchamba familia nzima.
Hahaha na atakuwa tu natural kwa kweli asije akatuletea Mawigi yasiyofata direction ya kichwa. Hatutaki vichambo vya mzee
Happy Birthday to You"
Huwa hana tabia ya kufatilia uongo
Yani sijui ni nini tu kimetuficha sie?Mzima mamie?Miss u mnoooooMhhhhhh!!! Happy new year swahiba missing u much...