Haa!! Usilale mwambie shem wako afanye mambo.. Kaizer okoa jahazi wapi champagne au tutumie tu hiyo ya avatar yako.....
Hiyo kwen avatar sio chpagne jaman huyu Honey Faith sijui kakutana na Rich Pol njiani?:what::what:
Hiyo kwen avatar sio chpagne jaman huyu Honey Faith sijui kakutana na Rich Pol njiani?:what::what:
Happy birthday atoto. Mungu akupe maisha marefu yenye ukamilifu
Hiyo kwen avatar sio chpagne jaman huyu Honey Faith sijui kakutana na Rich Pol njiani?:what::what:
Sasa wewe si ulichelewa kuja mi ningekanywesha pombe haka katoto.... honey Faith siku hizi yuko juuuuu!!!
Jamani mie mbona nipo chini sanaaa!!!!
usijishushe mama kaa ktk nafasi yako
Hahahaha una utani wa ngumi wewe