Happy birthday atoto!

Happy birthday atoto!

atoto
images
images

hahahaaaaa!! thanks alot Tyta
 
Last edited by a moderator:
DEMBA tumbo limekuwa kdg anytime tutampata kabebi kama ww anapumzika tu shem darling

weraweraaaa kumbe ndio maana kaadimika hivyo, loooh hongereni sana jamani, ukubwa rahaa ngoja na mie nikue
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday atoto. Mungu akupe maisha marefu yenye ukamilifu
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe si ulichelewa kuja mi ningekanywesha pombe haka katoto.... honey Faith siku hizi yuko juuuuu!!!

mweee ningesinziaje leo! bora ulibadili mawazo lacvyo lingekuwa balaa tena
 
Last edited by a moderator:
happy earth day atoto . uwe na maisha marefu
 
Last edited by a moderator:
Hivi uyu atoto.anaeza kuwa ameanza kupigana sasa eeh?

hahahaaaaaa yaani kwenye kupigana hunipati Kaizer ni muoga mno natokaje nduki sasa, naogopa as nilishawahi kumpasua mtu nilivyoona damu niogopa balaa tokea hapo niliapa kutopigana tena na naogopa balaa, so ukinichokoza natokaje ndukiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom