Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Hivi uyu atoto.anaeza kuwa ameanza kupigana sasa eeh?
Kinajua ngumi balaa.Naongozana na mume wangu kwa msaada
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uyu atoto.anaeza kuwa ameanza kupigana sasa eeh?
hahahaaaah! na ninavyoogopa ngumi sasa natokaje nduki
Kinajua ngumi balaa.Naongozana na mume wangu kwa msaada
Hahahaha hata usiogope.Mie hata sijui kupigana
hahaaaa!! we nithingidhie tu! Honey Faith hivi humu jf kila mtu ana mume? Kaizer mbona hii kitu siielewi, alafu babu Dark City kapotelea wapi jamani, mwambie aje amlishe mjuu keki
Tuliobahatika kupata waume tumepata.Si unajua ndoa ni bahati mumie?Tupo wengi ila tunaolewa wachache😀
ni kweli mama, duuh!! wakubwa wanafaidi, ngoja na mimi nikuekue
eve
Hahahaa Kaizer kwa hiyo sie wa jikoni haturuhusiwi kuchungulia mweeh
Chunga hilo pilau lisiungue mume wangu halagi vilivyoungua...