Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Huyu ni mzee ngozi ila viungo ni kama sisiMndali vip mzee... hawa wazee hawazeeki bhna kila siku tunapishana pm
Ndio maana niniHuyu huyu ODM? Ndiyo maana
Bwana akanena na wakolosai "Endeleeni kuvumiliana na kusameheana kwa hiari ikiwa yeyote ana sababu ya kulalamika juu ya mwingine".Just kidding... you are one among the best persons I take as my friend... take it easy dogo. Cheers!
Nikitoka kwenye misa nitakuambiaNdio maana nini
Uko kwenye misa unachat?Nikitoka kwenye misa nitakuambia
Wewe ndiye unanisumbua.. biblia sikuhizi ni simu.Uko kwenye misa unachat?
Kumbe anatumia mbege basi nitakuagizia na kimpumu hii itamfaa zaidiHappy Birthday babu.
Mie zawadi yangu ipo nasubiri kijua kipoe poe tu nianze kujiondoa mdogo mdogo Uelekeo Bunju Lol. Nikiwa na ndoo yangu ya Mbege. Teh teh teh.
Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri Babu uzidi kuongezewa pale ulipopungukiwa. Ubarikiwe sana na uwe na maisha marefu zaidi.
Cc. Sky Elclat dada Bibi mie mgeni wenu huko leo. [emoji85]
Hahaaa. Kule Uchagani ndio mwake hivyo naamini Babu naye atakuwa anatumia hiyo kitu.Kumbe anatumia mbege basi nitakuagizia na kimpumu hii itamfaa zaidi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Nimeipenda hii.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wachaga na na mbege ni sawa na police na lindoHahaaa. Kule Uchagani ndio mwake hivyo naamini Babu naye atakuwa anatumia hiyo kitu.
Hiyo Kimpumu pia itapendeza zaidi.
Yaani. Emmy amejitolea kabisaaa. Hataki Babu yake akose raha za nyumbani.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wachaga na na mbege ni sawa na police na lindo
Sawa ila daby kasema babu yake sio mtu mzuri hata kidogo maana wanapisha kwenye kona za vijanaYaani. Emmy amejitolea kabisaaa. Hataki Babu yake akose raha za nyumbani.
Hahaaaa. Wazee walio wengi ndio tabia zao hizo hivyo amzowee tu sababu wana kale kausemi kao eti ng'ombe hazeeki maini. Teh tehSawa ila daby kasema babu yake sio mtu mzuri hata kidogo maana wanapisha kwenye kona za vijana
Hizi salam naomba zisambae hadi kwa sisi mashemelaHappy Birthday to the only man I have chosen to [emoji173]️ love. What a coincidence to celebrate your birthday in a Sunday.
It's a time to give God the glory for his love, kindness and protection for all these years you have been on earth
Happy Birthday Aspirin and i'l never stop loving you.
Bibi Sky Eclat
Haka kausemi kao katawaponza maana vijana wa siku hizi nao wanausemi wao unasema wazee nyakati zao zimepitaHahaaaa. Wazee walio wengi ndio tabia zao hizo hivyo amzowee tu sababu wana kale kausemi kao eti ng'ombe hazeeki maini. Teh teh
Kaka mkubwa Le Mutuz Kokobanga MobimbaHaka kausemi kao katawaponza maana vijana wa siku hizi nao wanausemi wao unasema wazee nyakati zao zimepita
Ukiona mzee anahangaika uzeeni ujue ujana wake alikuwa mzembe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haka kamsemo kamemdalilisha uzeeni kabisaKaka mkubwa Le Mutuz Kokobanga Mobimba