Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi njoo ukae karibu umshikie mikono au miguuHee hapana nataka sana mimi ni nani basi hadi nikatae ofa iliyotukuka kama hii kwa Babu Asprin
Abeeee
Basi tuhagiane kwenye party in fact nitakuwa nakupa kampani![emoji8] [emoji8]Abeeee
Nimekuhamu le big Shemeji!!!
EwaaaaBasi tuhagiane kwenye party in fact nitakuwa nakupa kampani![emoji8] [emoji8]
Asee...kampan la jana acha tu[emoji39] [emoji39]Ewaaaa
Leo itabidi unipe tuu kampani naona le Mkubwa atakuwa njia kuu
HahahaAsee...kampan la jana acha tu[emoji39] [emoji39]
Eti babu alitaka atoroke atufate haniamini?[emoji12]Hahaha
Nililipendaaa
Anawezaje kukuamini wakati we damu changa....Eti babu alitaka atoroke atufate haniamini?[emoji12]
Nliona tu shemeji ujue inaumaga[emoji2] [emoji2]Anawezaje kukuamini wakati we damu changa....
Ila alikosa amani ujue
Lakini tulifanya nini kibaya mpaka aumie vile??!Nliona tu shemeji ujue inaumaga[emoji2] [emoji2]