Haya, [emoji125] [emoji125] [emoji125]Poa poa nakusubir
Mwenzangu skupati. Jaribu ku update hebuHata sijui kuna tatizo gani..nimejaribu haitaki. Mbaya zaidi sio kwako tu, jaribu kunichek ww tuone.
Shukrani kwa wote walioniwish na wote waliofika,hey all who were able to join us yesterday at RAMADA, on behalf of Stunter, i wish to express my sincere thanks to all who made it. It was short but nice.
again thanks all. Daby nahis ullienjoy sana jana. nilikuona tu ulivyokuwa unatabasamu nikagundua lile tego lako liliwasili maeneo japo hukunitonya ni yupi kati ya wale ulokuwa unatabasamu nao.
hope utanijuza leo.
Shukrani sana mkuu, Mungu akubarikiPale unapojua majukumu yako ...inapendeza sana kuona unakuwa mlezi mwema...maisha marefu stunter
Ahsante sana kwa dua njema Mkuu, Tumezipokea kwa mikono miwili, Ubarikiwe saanaHappy Birthday Stunter..God bless u guys mfike mbali.
Leo njoo utaikutaJamani af fursa kama hizi zinatokeaga nikiwa mkoani waiiiii..niwekeeni kipande nitakikuta J4 hahahh.
Thanks man, UbarikiweHappy belated birthday
Hiyo itakuwa ni Belated, Thanks so much hommie, Ubarikiwe sanaHappy Birthday Mkuu Stunter
Ahsante sana bro ww ni mmoja wa marole model wangu hapa Jf. Live long...... Live peace.Aisee Shukrani saana mchizi wangu Raymond , Mungu akubariki mzee
I appriciate men, Tuko pamojaAhsante sana bro ww ni mmoja wa marole model wangu hapa Jf. Live long...... Live peace.
Daah jina lipo wazi mno hilo
Ok broI appriciate men, Tuko pamoja
Wewe church unaendaga?????[emoji2] [emoji2] [emoji2] sikutishi mkuu ...nakukumbusha kumkumbuka muumba wako siku za ujana wako
Vipi lakini church umekwenda?
Hata sasa nimetokaWewe church unaendaga?????