Happy birthday baby STUNTER

Happy birthday baby STUNTER

hey all who were able to join us yesterday at RAMADA, on behalf of Stunter, i wish to express my sincere thanks to all who made it. It was short but nice.

again thanks all. Daby nahis ullienjoy sana jana. nilikuona tu ulivyokuwa unatabasamu nikagundua lile tego lako liliwasili maeneo japo hukunitonya ni yupi kati ya wale ulokuwa unatabasamu nao.

hope utanijuza leo.
Shukrani kwa wote walioniwish na wote waliofika,
Nawashukukuru sana na tuendelee na moyo huohuo wa kiungwana wakuu, Ahsanteni
 
Aisee Shukrani saana mchizi wangu Raymond , Mungu akubariki mzee
Ahsante sana bro ww ni mmoja wa marole model wangu hapa Jf. Live long...... Live peace.
Daah jina lipo wazi mno hilo
 
Back
Top Bottom