Mkuu leo ni siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako. Mungu akuzidishie miaka mara dufu.
Happy Birthday to you......(2 times)
Happy Birthday dear Balantanda.........
.
.
.
Happy birthday my beiberry...kama upo online, nilitaka kukuambia nimeshachukua ile keki na watu wote nilishawataarifu kwa ajili ya party. See you badae my dear.