Happy Birthday BALANTANDA

Happy Birthday BALANTANDA

Baba Mkubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
814
Reaction score
108
Mkuu leo ni siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako. Mungu akuzidishie miaka mara dufu.
Happy Birthday to you......(2 times)
Happy Birthday dear Balantanda.........
.
.
.
 
Mkuu hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa

Dogo masanilo naona likizo haijaisha tu angeratibu shughuli nzima leo!
 
Happy birthday my beiberry...kama upo online, nilitaka kukuambia nimeshachukua ile keki na watu wote nilishawataarifu kwa ajili ya party. See you badae my dear.
 
Back
Top Bottom