Asante sana kaka yangu Pendaelli kikubwa uzima upo. Tunamshukuru Mungu. Shukrani sana, pamoja.Nimechelewa sana Bantu Lady lakini hongera kwa siku ya kuzawa!
Enjoy your life my sister
Itakuwa hatari kabisa πππππ mnyama katulia sana mbele. Acha tuvute subira πππKweli babe
Pengine siku mambo yanakubali nakua tayari nna crown mtoa roho ya babeView attachment 2668521
Shikamoo kaka Pendaeli[emoji113]Nimechelewa sana Bantu Lady lakini hongera kwa siku ya kuzawa!
Enjoy your life my sister
ππ... kambi nahamishiaaa hapaaa sasaPenseli 4 Fanya ukuje Dp world hukuuu nishakumiso mpaka naumwaaa![emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]!
National Anthem DW nihukuuu[emoji4][emoji4]
Mtachapwa π π π πHuku ndio tulihamia rasmi kule jioni tulivamiaa kuchangamsha genge tyuuu mjombaa!!ππ
Hii ndio kambi rasmii sasa au nasema uongo Penseli 4 ???π
πππ... hilo limepitaaa π―Huku ndio tulihamia rasmi kule jioni tulivamiaa kuchangamsha genge tyuuu mjombaa!!ππ
Hii ndio kambi rasmii sasa au nasema uongo Penseli 4 ???π
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa mjombbaaaaa!! Sema tumepumzika kwanzaa!!ππ Bantu Lady nime miss kukuona hata ukuchaaa
Tumepumzika acha upepo upite kwanza ππππππ Bantu Lady nime miss kukuona hata ukuchaaa
ππππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ» mzima mrembo wewe? Maana toka juzi nahisi tunaonana juu kwa juu tu.Eeendiwoooooooo ndiwooo mjombaaaaa anaewashwa akilete hukuuu mkishighulikie mjombaaππ!!
Yaani hoi nilicheza ile jumamosi πππππ nyimbo zote, zilikuwa zimahamasisha kusimama. Huku kwingine tuombe Mungu πͺNiko poa sana kipenzi ratiba imebanajeee lol!!
Bila shaka sherehe zilienda vyedii dear!!
Sikupatiii picha uvoyarudiiii ma kichwani ushapigaπΎπΎπΎπ₯π₯π₯ zakutosha!!Yaani hoi nilicheza ile jumamosi πππππ nyimbo zote, zilikuwa zimahamasisha kusimama. Huku kwingine tuombe Mungu πͺ