Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Kuna sikukuu kesho kutwa ya kina Chino hapo. Achinje ng'ombe atugaie. Tutaifata hukohuko. Weekend utakuwa wapi Ankol. Mimi nahisi nitabanwa hii weekend mmmh!!!
Kapachino usisahu kondooo mwenye mkia ulioshibaaaaa ... ukiiutazana tu mate hayooo 😅😅😅

Weekenda naishiii samaki samaki tu..Utakuwa umebanwaaa na mmiliki au mlangooo 🤣🤣🤣
 
Yeahhh pesa zote alimalizia huko siasani saivi yupoyupo tu!!
Wee mnywanii kumbe nawe muhengaaa lol!! National Anthem wee form 4 mwaka ganiii mjombaa??😊
😅😅😅😅 . form 4 hata sikumbuki maana nilikuwa najihamisha shule huyooo 🤣🤣🤣🤣 huenda ningemaliza 2003 au 2004... dingi hadi namaliza chuo hakujua form nimemaliza shule gani
 
😅😅😅😅 . form 4 hata sikumbuki maana nilikuwa najihamisha shule huyooo 🤣🤣🤣🤣 huenda ningemaliza 2003 au 2004... dingi hadi namaliza chuo hakujua form nimemaliza shule gani
2003 weee mjomba muongooo!! 😊😊😊!
Hahahaaa inaonekana ulikua mkorofi sana wewe Itakua walimu walipata tabu sana !!
 
Ukorofi huooo mjombaaa!! Kumbe fujo ulizianza kitrambo sana akizubaa vitasaaaa lol mwanafunzi wahivo tunamfukuzaaa skuliii bila hata bodi kukaa!! 😁
😅😅😅😅 .. walimu lazima wakuogope , ndio maisha yaende.. nahisi hapo kama ningekuwa mwanafunziii mngenimwaga mapemaa.. chuo flani nilienda kusoma ka elimu flani, walimu wa ile idara walikuwa wana ninyaaa.. kuna mmoja alizingua nilimchimba beat 🤣🤣🤣 jamaa aliniogopa kinomaaa na somo lake nikatoboaa.. mkwala nilio wachimba na vile nilikuwa sieleweki eleweki wakahisi ni kitengoo kumbe wengine hatunaga cha kupoteza
 
Back
Top Bottom