Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa.... tutaifata hukohukoo walikooo !! Wachinjee wa kutoshaa!!Kuna sikukuu kesho kutwa ya kina Chino hapo. Achinje ng'ombe atugaie. Tutaifata hukohuko. Weekend utakuwa wapi Ankol. Mimi nahisi nitabanwa hii weekend mmmh!!!
Kapachino usisahu kondooo mwenye mkia ulioshibaaaaa ... ukiiutazana tu mate hayooo π π πKuna sikukuu kesho kutwa ya kina Chino hapo. Achinje ng'ombe atugaie. Tutaifata hukohuko. Weekend utakuwa wapi Ankol. Mimi nahisi nitabanwa hii weekend mmmh!!!
Usijali wewe tena mbantu!!Duh atairudia tu Mywani wako. Chino niko hapa ππππ
Wewe Ni lizuri kwa sauti ya WigelekeloAwapi sina lolote mue kamera tu mnywanii!!
Asante Chino naisubiria. Sikukuu utakuwa hukohuko?Usijali wewe tena mbantu!!
We yako baadae!! subiria ya naked kabisa!!
π π π π . form 4 hata sikumbuki maana nilikuwa najihamisha shule huyooo π€£π€£π€£π€£ huenda ningemaliza 2003 au 2004... dingi hadi namaliza chuo hakujua form nimemaliza shule ganiYeahhh pesa zote alimalizia huko siasani saivi yupoyupo tu!!
Wee mnywanii kumbe nawe muhengaaa lol!! National Anthem wee form 4 mwaka ganiii mjombaa??π
Thank you sweetie Saint Anne πππHappy belated birthday
Nashukuruni Sana kwa kunikumbusha wadau.Kapachino usisahu kondooo mwenye mkia ulioshibaaaaa ... ukiiutazana tu mate hayooo π π π
Weekenda naishiii samaki samaki tu..Utakuwa umebanwaaa na mmiliki au mlangooo π€£π€£π€£
2003 weee mjomba muongooo!! πππ!π π π π . form 4 hata sikumbuki maana nilikuwa najihamisha shule huyooo π€£π€£π€£π€£ huenda ningemaliza 2003 au 2004... dingi hadi namaliza chuo hakujua form nimemaliza shule gani
π π π unasomaje hujawai fukuzwa shule kwa kumchapa mwalimu mikonooo ....huo ni uzembee2003 weee mjomba muongooo!! πππ!
Hahahaaa inaonekana ulikua mkorofi sana wewe Itakua walimu walipata tabu sana !!
Dodoma raha Sana!! Kumbe wabunge wanafaidi ivi mbantu??Asante Chino naisubiria. Sikukuu utakuwa hukohuko?
Ukorofi huooo mjombaaa!! Kumbe fujo ulizianza kitrambo sana akizubaa vitasaaaa lol mwanafunzi wahivo tunamfukuzaaa skuliii bila hata bodi kukaa!! ππ π π unasomaje hujawai fukuzwa shule kwa kumchapa mwalimu mikonooo ....huo ni uzembee
Ili siku mmoja nikiwa mishe mishe road!! Nisije nikamtoza nauli mbantu!Msisahau kunitag wapendwa kitrambo sana sijaona naked zenyuu π!
Team Gemini[emoji7]Thsnk you sweetie Saint Anne [emoji8][emoji8][emoji8]
π π π π .. walimu lazima wakuogope , ndio maisha yaende.. nahisi hapo kama ningekuwa mwanafunziii mngenimwaga mapemaa.. chuo flani nilienda kusoma ka elimu flani, walimu wa ile idara walikuwa wana ninyaaa.. kuna mmoja alizingua nilimchimba beat π€£π€£π€£ jamaa aliniogopa kinomaaa na somo lake nikatoboaa.. mkwala nilio wachimba na vile nilikuwa sieleweki eleweki wakahisi ni kitengoo kumbe wengine hatunaga cha kupotezaUkorofi huooo mjombaaa!! Kumbe fujo ulizianza kitrambo sana akizubaa vitasaaaa lol mwanafunzi wahivo tunamfukuzaaa skuliii bila hata bodi kukaa!! π
Ilinikuta hii mwakaleli high school mbeya!!π π π unasomaje hujawai fukuzwa shule kwa kumchapa mwalimu mikonooo ....huo ni uzembee
Jamani kumbe Team Gemini, pamoja na Tonnia naye Gemini.Team Gemini[emoji7]
Sijui hata sikuona vipi
Tumegongana tarehe