Happy birthday Bantu Lady

Anko akee sie Penseli 4 ndio ubize wa field ama??πŸ€”πŸ˜„

Sio kwa kunisusa hukuuu lol
Field kweli mnyoosho auntiee mpaka vitu vingine nasahau mambo ni mengi.

Nikipata muda ndo huwa navizia vizia kidogo huku πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ. Don't worry lakini I'm here β˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ™‚πŸ™‚πŸ’–
 
Bantu Lady nimekununia mimiiiiii☺️😊😊😊!
Haiwezekani haiwezekani kabesaaa!!!🀠🀠
Nishafika Nyakiboo kipenzi😍!!
 
Bantu Lady nimekununia mimiiiiii☺️😊😊😊!
Haiwezekani haiwezekani kabesaaa!!!🀠🀠
Nishafika Nyakiboo kipenzi😍!!
Uwiii yaani nilihisi nimenuniwa kumbe kweli πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” nami nilikununia unajua kwanini πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
 
Polee ankoo akeee sema fanya kazii kwanzaa mengine yapo tyuu anko anguu!!..

Hapo kwa mihogo ongezea kachumbareeee yenye limao na pilipilii kwa mbareeeee itanougaaa sanaa!!πŸ˜‹

Naombapo kipande kimoko nistue hii minyoo kwanzaa😊!!
 
Uwiii yaani nilihisi nimenuniwa kumbe kweli πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” nami nilikununia unajua kwanini πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
🀣🀣🀣😁😁😁!!

Lol mie nkajua ukiwa free ukipata muda utanjuza kipenzi haaa subiri subiriii wapiiii 😊

Sema hapa Mwisho mambo yalikua miambiliiii ishirini kidogoooo nikaatingwa balaa!
 
🀣🀣🀣😁😁😁!!

Lol mie nkajua ukiwa free ukipata muda utanjuza kipenzi haaa subiri subiriii wapiiii 😊

Sema hapa Mwisho mambo yalikua miambiliiii ishirini kidogoooo nikaatingwa balaa!
Dah ndiyo hapo ile siku ya sikukuu niliyoumwa kichwa, ingefaa. Hata kwa masaa machache. Ila mambo yakaenda kulia na kushoto. Nimeona umekuwa busy sana kipenzi. Pole sana 😘
 
Dah ndiyo hapo ile siku ya sikukuu niliyoumwa kichwa, ingefaa. Hata kwa masaa machache. Ila mambo yakaenda kulia na kushoto. Nimeona umekuwa busy sana kipenzi. Pole sana 😘
Usijareee dear will arrange next time uzuri bado tupo!!
Mi mwenyewe nilijua mambo yalikua mengi !

Asante tunashukuru tumefika salama dear!!
 
Usijareee dear will arrange next time uzuri bado tupo!!
Mi mwenyewe nilijua mambo yalikua mengi !

Asante tunashukuru tumefika salama dear!!
Poleni na safari, maana hiyo ndiyo safari mnaenjoy njiani. J hoiii atakuwa.
 
Poleni na safari, maana hiyo ndiyo safari mnaenjoy njiani. J hoiii atakuwa.
Asante dear leo nimeshinda nimeraraa tuu.. Yeah safari tumeenjoy sana .
Jr hoiii sio kidogooo saa 12 tu usingizi kama wote!!
 
Mnywani miss you!!
Unaendaleaje mtoto mzuri jf nzima!

Karibu Sana Bukene- Nzega
Niko vyedi sana mnywani miss you more mnywanii akee!!

Nakuyaaa nakujaaa hapooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…