Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Bantu Lady nimekununia mimiiiiii☺️😊😊😊!
Haiwezekani haiwezekani kabesaaa!!!🤠🤠
Nishafika Nyakiboo kipenzi😍!!
 
Field kweli mnyoosho auntiee mpaka vitu vingine nasahau mambo ni mengi.

Nikipata muda ndo huwa navizia vizia kidogo huku 😃😃😃😃😃. Don't worry lakini I'm here ☺️☺️🙂🙂💖

View attachment 2679482
Polee ankoo akeee sema fanya kazii kwanzaa mengine yapo tyuu anko anguu!!..

Hapo kwa mihogo ongezea kachumbareeee yenye limao na pilipilii kwa mbareeeee itanougaaa sanaa!!😋

Naombapo kipande kimoko nistue hii minyoo kwanzaa😊!!
 
Uwiii yaani nilihisi nimenuniwa kumbe kweli 😔😔😔😔 nami nilikununia unajua kwanini 😪😪😪😪
🤣🤣🤣😁😁😁!!

Lol mie nkajua ukiwa free ukipata muda utanjuza kipenzi haaa subiri subiriii wapiiii 😊

Sema hapa Mwisho mambo yalikua miambiliiii ishirini kidogoooo nikaatingwa balaa!
 
🤣🤣🤣😁😁😁!!

Lol mie nkajua ukiwa free ukipata muda utanjuza kipenzi haaa subiri subiriii wapiiii 😊

Sema hapa Mwisho mambo yalikua miambiliiii ishirini kidogoooo nikaatingwa balaa!
Dah ndiyo hapo ile siku ya sikukuu niliyoumwa kichwa, ingefaa. Hata kwa masaa machache. Ila mambo yakaenda kulia na kushoto. Nimeona umekuwa busy sana kipenzi. Pole sana 😘
 
Dah ndiyo hapo ile siku ya sikukuu niliyoumwa kichwa, ingefaa. Hata kwa masaa machache. Ila mambo yakaenda kulia na kushoto. Nimeona umekuwa busy sana kipenzi. Pole sana 😘
Usijareee dear will arrange next time uzuri bado tupo!!
Mi mwenyewe nilijua mambo yalikua mengi !

Asante tunashukuru tumefika salama dear!!
 
Usijareee dear will arrange next time uzuri bado tupo!!
Mi mwenyewe nilijua mambo yalikua mengi !

Asante tunashukuru tumefika salama dear!!
Poleni na safari, maana hiyo ndiyo safari mnaenjoy njiani. J hoiii atakuwa.
 
Poleni na safari, maana hiyo ndiyo safari mnaenjoy njiani. J hoiii atakuwa.
Asante dear leo nimeshinda nimeraraa tuu.. Yeah safari tumeenjoy sana .
Jr hoiii sio kidogooo saa 12 tu usingizi kama wote!!
 
Back
Top Bottom