Hahahaha!!Auntiee mzuri na shepu la maana hii picha imenifanya niwakumbuke. Sijui kwann sema mnafanania sana. ππππ
Tena tonnia ndo huyo anayetoa ulimi hapo ππππ.
Bantu lady Wewe unashangaa tu. πππ.
I miss you my auntiees sana π€π€
YANGA OYEEE ππππππ
View attachment 2687131
Nikajua yuko Selfika!!! Hata huko hayupo? Nawewe ulipotea sana leo nilitaka kumuuliza mshamba, ulipo mdogo wangu Penseli 4Hivi shepu la maana yuko wapi Auntiee mzuri
Nishaanza kuogopa mimi ππππ«¨πππππ©π«π«π©ππ
Alikuambia kitu chochote?? Maana sio kawaida yake kabisa
Daaah nimemmiss kinoma mpaka naumwa tumbo linanguruma kabisa.
Do samsingi auntiee
Okay pole na ubusy, I hope yuko salama. Atakuwa kaamua kupumzika but tutamtafuta tu mpaka apatikane Antonnia Usijali mdogo ake, atakuja tu.Nipo sana auntiee siku za weekdays ndo ninakuaga busy tu. ππ
Ila weeknd nipo tele.
Nimemmiss sana Antonnia π©π©π daaah anyway i hope atakuwa vyedi tu.
Oooh pole ni vile huwa hauko sana humu. Mrembo Tonnia alinianzishia uzi na sikuwa najua. Kulog In ndiyo nikakuta siku hiyo. Ilikuwa bonge la surprise kwa kweli πππDooh kumbe kuna uzi ulianzishiwa, ndio nauona leo eti jamani, ila next year Mungu akitujaalia uzima nitakumbuka kukuwish Bantu Lady [emoji7][emoji7]
Wow I love you more, mdogo wangu ππππ Asante sana Penseli 4Ok auntiee mzuri i luv yu sana lakini βΊοΈπ€π.
Yeah ni bonge la surprise kwa kweli, maana kupata mtu ambaye atakumbuka kuja mpaka huku na kukuwish Birthday inamaanisha anajali kuliko kawaida, yani tatizo mimi nikishapitia nyuzi mbili tatu za kwenye timeline na kujibu baadhi walioniquote basi i call it a day [emoji3][emoji3]Oooh pole ni vile huwa hauko sana humu. Mrembo Tonnia alinianzishia uzi na sikuwa najua. Kulog In ndiyo nikakuta siku hiyo. Ilikuwa bonge la surprise kwa kweli [emoji7][emoji7][emoji7]
I'm fine mummy it's good nimekuona tena.Santo sana anko mie nipo vyedii sana mishemishe m na majukumu kidogo tu yalinibana Hope uko poa ankoo!