Happy birthday Bantu Lady

Happy birthday Bantu Lady

Auntiee mzuri na shepu la maana hii picha imenifanya niwakumbuke. Sijui kwann sema mnafanania sana. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜

Tena tonnia ndo huyo anayetoa ulimi hapo πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚.

Bantu lady Wewe unashangaa tu. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

I miss you my auntiees sana πŸ€—πŸ€—

YANGA OYEEE πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
Screenshot_20230713-142200~2.png
 
Auntiee mzuri na shepu la maana hii picha imenifanya niwakumbuke. Sijui kwann sema mnafanania sana. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜

Tena tonnia ndo huyo anayetoa ulimi hapo πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚.

Bantu lady Wewe unashangaa tu. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

I miss you my auntiees sana πŸ€—πŸ€—

YANGA OYEEE πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
View attachment 2687131
Hahahaha!!

Miss you sanaaaa ankooo akeeee!!

Karebuuu tena na tenaaa ankoooo tulikumisiijeeeee humuuu!!
Nafurahi kukuona tena DW ankoo!!
 
Hivi shepu la maana yuko wapi Auntiee mzuri

Nishaanza kuogopa mimi πŸ˜”πŸ˜”πŸ™„πŸ«¨πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜©πŸ˜«πŸ˜«πŸ˜©πŸ˜žπŸ˜ž

Alikuambia kitu chochote?? Maana sio kawaida yake kabisa

Daaah nimemmiss kinoma mpaka naumwa tumbo linanguruma kabisa.

Do samsingi auntiee
 
Nikajua yuko Selfika!!! Hata huko hayupo? Nawewe ulipotea sana leo nilitaka kumuuliza mshamba, ulipo mdogo wangu Penseli 4
 
Dooh kumbe kuna uzi ulianzishiwa, ndio nauona leo eti jamani, ila next year Mungu akitujaalia uzima nitakumbuka kukuwish Bantu Lady [emoji7][emoji7]
 
Nipo sana auntiee siku za weekdays ndo ninakuaga busy tu. 😊😊

Ila weeknd nipo tele.

Nimemmiss sana Antonnia 😩😩😞 daaah anyway i hope atakuwa vyedi tu.
Okay pole na ubusy, I hope yuko salama. Atakuwa kaamua kupumzika but tutamtafuta tu mpaka apatikane Antonnia Usijali mdogo ake, atakuja tu.
 
Dooh kumbe kuna uzi ulianzishiwa, ndio nauona leo eti jamani, ila next year Mungu akitujaalia uzima nitakumbuka kukuwish Bantu Lady [emoji7][emoji7]
Oooh pole ni vile huwa hauko sana humu. Mrembo Tonnia alinianzishia uzi na sikuwa najua. Kulog In ndiyo nikakuta siku hiyo. Ilikuwa bonge la surprise kwa kweli 😍😍😍
 
Oooh pole ni vile huwa hauko sana humu. Mrembo Tonnia alinianzishia uzi na sikuwa najua. Kulog In ndiyo nikakuta siku hiyo. Ilikuwa bonge la surprise kwa kweli [emoji7][emoji7][emoji7]
Yeah ni bonge la surprise kwa kweli, maana kupata mtu ambaye atakumbuka kuja mpaka huku na kukuwish Birthday inamaanisha anajali kuliko kawaida, yani tatizo mimi nikishapitia nyuzi mbili tatu za kwenye timeline na kujibu baadhi walioniquote basi i call it a day [emoji3][emoji3]
 
Okay pole na ubusy, I hope yuko salama. Atakuwa kaamua kupumzika but tutamtafuta tu mpaka apatikane Antonnia Usijali mdogo ake, atakuja tu.
Nipooo vipenziii nilikua nimetingwa kidogo tyuuu ila everything is going wellooo wapendwaa! Nimewamiss sanaa hadi naumwaaaa!! 😘!
 
Nipo sana auntiee siku za weekdays ndo ninakuaga busy tu. 😊😊

Ila weeknd nipo tele.

Nimemmiss sana Antonnia 😩😩😞 daaah anyway i hope atakuwa vyedi tu.
Santo sana anko mie nipo vyedii sana mishemishe m na majukumu kidogo tu yalinibana Hope uko poa ankoo!
 
Back
Top Bottom