Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nilizubaa zubaa sana, kuweza kuamini hali halisi ilivyo. Unamjua yule mwezi mchanga? Chizi karogwa tenaWanaloga mchana kweupeeee Afu much know sasa!!ππ!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilizubaa zubaa sana, kuweza kuamini hali halisi ilivyo. Unamjua yule mwezi mchanga? Chizi karogwa tenaWanaloga mchana kweupeeee Afu much know sasa!!ππ!
Mwanza, mpenzi, nyuzi nyingi, πππππππ code ukiiweza hii ifungua basi...Yupi huyooπ???
mtu ana majangaaa yake . chuki ana hamishia kwingine π π πππππππππ! Makasiriko nouma sana π
Kuna makasiriko na njaaa.. wakiambiwa wanauza bei gani.. hawasemi.. watu tuna ma upwiru ya hatarii π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ!
Pamekua pa hovyo hovyo!
Naachaje ifungua kwa mfano! π! Itakua huyohuyoooπ
nije tsapp wajamenii π π πMwanza, mpenzi, nyuzi nyingi, πππππππ code ukiiweza hii ifungua basi...
Chap nakujaaaaa πππNjoo Mjombaaa njooo tukufungulie codeππππ
Washaaaaa dataaa πππWatruu Wamevurugwa vibaya sana mjomba!!π!
Sema nene acha inyeshe ....!
π€... nimeonaaaTayareee mjombaa!!
Nimekumiss Odo ake nakuona kwa tochi Beautiful. ππππ₯°π₯°πππ
Na mie vipeeeeNipo Odo ukiona sipatikani patikani unamuuliza Antonnia akupe habari nzuri kunihusu.
Nmekumic pia.
πππ
Nasubiri majibu tsapp.. mbona napitwaaa π π πNimekumiss Odo ake nakuona kwa tochi Beautiful. πππ
Lakini wewe ni nani na hii id yako ya mchongo?Na mie vipeeee