Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tunaimani anaishi.... Ben ben ... bado anaishi Tunaamini hiliapumzike kwa amani
Hakuna bro... Very strangeBoss Noel C Shao Hivi hakuna taarifa ya Polisi so far iliyotolewa??? !!! Happy Birthday Mtanzania Ben Saanane.
We shall overcome tuTanzania ya leo inasikitisha sana..
Kutekana na Risasi.
HBD Brother Ben Saanane..
Ee Mungu Baba Hebu Mlinde huyu kiumbe wako Ben Saanane.
(yule Mwandishi wa Mwananchi aliyetekwa nae sijui vipi..! Ptuuu Utawala wa Shetani huu)
Happy birthday to himView attachment 649953 Tarehe kama ya leo 13/12 stasahau katika kumbukumbu zangu maana tarehe kama hii alizaliwa mwanaharakati ambaye amepotea katika mazngira ya kutatanisha BEN RABIU SAANANE
HAPPY BDAY KWAKO japo tuko katika kiza tororo kuhusu kutoonekana kwako,,
Dah I wish isiwe kweliPumzika kwa amani Ben.
Mkuu, unafikiri mpaka muda wamtunze wa nini sasa!Dah I wish isiwe kweli
InasikitishaMkuu, unafikiri mpaka muda wamtunze wa nini sasa!