Happy birthday[emoji512]brother, Mungu akawe upande wako popote ulipo Kaka angu, hata kama tone moja la Damu yako imemwagika basi ikamwagilie ukombozi wa fikra katika taifa hili dhalimu. Nakuombea Malaika wa Mungu wawe walinzi wako. Happy birthday ones again Brother[emoji26]