Happy Birthday bestito Dotto Mnzava

Happy Birthday bestito Dotto Mnzava

Sasa nimeamini kumbe wewe ni mmojawao na umejificha kiaaina ndo maana mkuu mmoja mshirika wangu wa karibu aliniambia kuwa wewe ni miongoni mwao wa wanafunzi wa Bwana kumbe wewe nawe mfuasi kuleeeeeeee aisee leo nimeamini sasa mbona wajificha hivyo aiseeee sikujua itabidi niwe futi 7 kueelekea wigo wa nyavu za mpira wako ndo maana siku hizi nimejitoa kwenye timu yenu maana sikuwategemea nyie kumbeee bora nimetambua mapema asante kwa hii kitu kunionesha kitu ambacho kilijificha kiana mweee
Nawashukru wakuu Me too, Tee Bag, ladyfurahia kwa kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom