Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa
HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER
Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel Jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi alikuwa Remigius Kaponda Kalubu Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TANU.