Aishi miaka mingiiii binamu
Hata mm kuna picha wameshika gunia la pamba sielewi kabisaa kila thread naiona
Weka na picha yake
Happy birthday kwake
Niko nasubiri jibu atakalotoa tu kwa ufupi kama kawaida yake au
Isije kuwa nimebug SKU yake ya kuzaliwa jaman nitacheka miyee ngoja ajeeee
Jaman maswal magumu yapi tena jaman ? Utanitoa roho kuyasubiria baadae
Naanzaje kwenda kwa huyu fisiiii
Jaman basi fisi Leo kakabidhiwa buchaaa karibu
Watu wanatunza sana kumbukumbu aiseeeeh
Bora hiyo mm Uzi wangu wa malovee umepelekwa jukwaa la dinii